EN Anza mradi
← Rudi kwenye miradi

Usanifu majengoMakazi

Makazi ya Vyumba Vinne, Dodoma

Makazi ya Vyumba Vinne, Dodoma
Aina
Makazi
Mahali
Dodoma
Kazi
Usanifu majengo, mandhari na 3D
Mwaka
2025

Kuhusu mradi

Nyumba pana ya familia ya vyumba vinne vya kulala, ikiwemo master bedroom na vyumba vyenye vyoo ndani (self-contained), sebule, jiko na sehemu ya kulia zilizo wazi, nyumba ya wafanyakazi ya vyumba viwili na gereji. Bustani pana na maeneo rahisi ya nje yanatumia vizuri kiwanja kikubwa, kama mteja alivyotaka: safi, yenye matumizi na tulivu.

04Picha

Unapanga kitu kama hiki?

Tueleze kuhusu kiwanja chako na bajeti yako, nasi tutakujibu ndani ya siku moja ya kazi.

Tuchati WhatsApp